Jinsi speaker inavyoweza washa bulb, je kuna ukweli hapa kwa video?

OKy sawa ila sio mwandishi mzuri.

Hapo kwenye sumaku kuna mzungusho wa nyaya ( windingi ) , ambazokukitokea kutata au kubadilika kwa usukaku kwenye izo nyaya kutazaliwa umeme , ambao utaenda moja kwa moja kwenye taa na kuwasha
 
Kispika cha Ahmedy Ally kinaweza washa Watt 5 kweli?
 
Haifahamiki kuwa huo ni umeme wa moja kwa moja au kuna muda spika inaishiwa nguvu na taa inazima
 
Isije ikawa ni umeme wa dakika 2 tu baada ya hapo inazima
 
OKy sawa ila sio mwandishi mzuri.

Hapo kwenye sumaku kuna mzungusho wa nyaya ( windingi ) , ambazokukitokea kutata au kubadilika kwa usukaku kwenye izo nyaya kutazaliwa umeme , ambao utaenda moja kwa moja kwenye taa na kuwasha
Kubadilika kwa usumaku kunatokeaje, naam inakuwaje?
 
Kubadilika kwa usumaku kunatokeaje, naam inakuwaje?
Nitajaribu , sikuzote kifaa kikiwa kinatumika iwe redio , Tv , Feni kunakuwa hakuna constant flow ya umeme .. hivyo hivyo katika spika iyo ...ambayo itasababisha kubadilika kwa magnetic fields of lines. ( ni mawazo kutokana na elimu ndogo niliyo nayo )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…