Jinsi tunavyoendelea kuliwa kupitia BoT!

Samahani mkuu, ina maana IPTL ndo inaishia? Je aliyeandika si ndo yule mmbongo wao? Mbona barua imekaaa kidesign?
 
Mkuu Selous,

Naomba niwaache wadau kwanza watoe mawazo yao then tunaweza kuzama kwa ndani zaidi katika swali lako, possibly wadau watakujibu kwa niaba yangu.

Kuna jingine linakuja soon, uchaguzi kweli umekaribia!
 
Muungwana alikuwa waziri mwenye dhamana ya nishati wakati IPTL inaanza, mbona hajawajibika kama Msabaha na Richmond ??Hajawahi kulitolea maelezo kabisa suala hili.
 
Last edited:
-Mr. Patrick A. Rutabanzibwa, Permanent Secretary, Ministry of Energy and Minerals, Dar-es-Salaam, Tanzania
halafu kuna:
-Mr Theophil Z.M Rugonzibwa-FOR THE IPTL PROVISIONAL LIQUIDATOR

ngoja nikachukue vidonge vyangu vyakushusha presha ili NIENDELEE KUIFUATILIA HII MAMBO
 
Inabidi kuwarahisishia watu kazi:

Whois Rutabanzibwa?


REF: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...aking-independent-power-tanzania-limited.html
 

Halafu kuna huyu jamaa mwingine
James Burchard Rugemalira is from Kagera in the North West of Tanzania. He obtained his first degree at the University of Dar es Salaam as a mature student. After an undistinguished career at the Bank of Tanzania, Rugemalira takes early retirement and enters the private sector. He is taken on board by VIPEM because of his contacts in BOT and the government. As an up-and-coming indigenous businessman, he is a prominent member of various business associations and official advisory committees, and sometimes travels with presidential delegations as a private sector representative.

connect dots
 
EPA ya kwanza 2000 (?Bn), EPA ya pili 2005 (133bn) now 2010 (137bn)?
 
Ooops!

This' what's up guys:

Mkuu usiyeonekana, mimi ni mmoja wa maamuma ambao sijaelewa kabisa what this letter implies. Please, mwenye kujua ufafanuzi wa hii barua inamaanisha nini atumwagie ili na sisi tuwe kwenye wavelength moja na wachangiaji wengine
 
Mkuu usiyeonekana, mimi ni mmoja wa maamuma ambao sijaelewa kabisa what this letter implies. Please, mwenye kujua ufafanuzi wa hii barua inamaanisha nini atumwagie ili na sisi tuwe kwenye wavelength moja na wachangiaji wengine

Mkuu Mpita njia, hilo giza na mimi nimo humo......! there couple of things i I do not understand kny hiyo barua.....!

a. Is IPTL being liquidated?......If yes, are the stakeholders aware of this?

b. Is the Tshs 138bil representing outstanding debts (receivables) in favour of IPTL--- in any case payable by Tanesco?

c. Why should Tanesco pay to the Escrow account the disputed invoices?....who will benefit from this money now?....Why should they only pay the undisputed invoices?

Hapa kazi ipo kwa kweli!
 
FP, IPTL is being liquidated lakini kinachoniacha gizani mimi ni hayo mengine kuhusiana na hiyo akaunti na huo mkwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…