SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Sina mengi mi maana hata karani tangu tuanze zoezi la kuhesabiwa hadi Leo karani wa sensa hajafika kwangu sina neno na hilo maana siku zimebaki kidogo labda watafika maana huu si uchaguzi matokeo ya watanzania tuko wangapi ni swala dogo sana kuliko speed ya uhesabuji wa kura kumuhalalisha mshindi.
Wakuu mi kilochonifanyanya nije na huu uzi ni namna ya tangazo nilolikuta la mradi huu ,hivi Watanzania tukiamua kaunda tume ya uchunguzi huru kujiridhisha kweli ndani ya uwekezaji huu olojitanabaisha kuwa ni wawekazaji zaidi ya hamsini wameshawekeza hatutakuta jina la mtu mwenye asili ya nchi hii akiwemo kwenye hiyo orodha?
Kuuliza sio ujinga nataka tu kujua.Mimi nawahi kulala uenda karani wa sensa anaweza pita usiku wa manane na kutaka taarifa zangu na nisimsikie kama ntachelewa kulala