Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

Bigot....
 
We Mleta Uzi Huna Hoja Hapo Zaidi Ya Kubwabwaja Maneno,
 
Rejea Uchambuzi wa Mchambuzi hapo Juu,
Usifanye Ushabiki
 
Atoke Bungeni aendelee na shughuli zake, tumechoka dharau zake dhidi ya Mwasisi wa Taifa hili. After all kasomeshwa bure na baba wa Taifa leo analeta dharau hizi mbaya!

Wewe unamwambia atoke bungeni ukiwa kama nani?
 
Kwan baba wa taifa yeye alikua awezi kukosea au yeye alikua mungu tundu lisu alichofanya ni kuainisha mapungufu yake
 
Hata ktk baadhi ya hotuba zake. Mwl. Ametamka wazi wazi kuwav" kuna mengine mabaya tuliyofanya vile vile na mazuri tumefanya. Kwa mabaya tunaweza kujirekebisha na tusiyarudie mabaya yale yale" kwa maana hiyo mwl alikwishakiri makosa. Je, tunamjadili kwa lipi badala ya kurekebisha.
Tunaposhindwa kurekebisha makosa yale basi ni dhahiri cc uwezo wetu ni ndogo mno kuliko! Na kama cc uwezo wetu ni mkubwa basi tusinge komba kodi za wananchi kisha kulikimbia bunge. Fedha hizo tunazipeleka kuongeza nguvu za marohani?
 
Mbunge Lissu atoke Bungeni maana Ubunge wake ni "BATILI!!"

Kama unakubaliana na Lisu kuwa Jamguri ya muungano siyo halali na Bunge siyo halali kwa nini usikubali pia kuwa wajumbe wote wa bunge maalum la katiba siyo halali? Kwa nini usiseme wajumbe wote warudi home? Why only Lisu?
 
Lissu mbunge. Maelewa hivyo au. Mbona anapokea kila kitolewacho na bunge. Sasa inakuwaje fedha azopokee serikali ya jamuhuri na taratibu zake anazikana.
Je inakuwaje ? Naomba kujuzwa vyema
 
Ovyooooo
 
Atoke Bungeni aendelee na shughuli zake, tumechoka dharau zake dhidi ya Mwasisi wa Taifa hili. After all kasomeshwa bure na baba wa Taifa leo analeta dharau hizi mbaya!
kasomeshwa na nyerere! We c bure akili yako ya kijani..fanya re-seach uckurupuke kusema
 
Kama unakubaliana na Lisu kuwa Jamguri ya muungano siyo halali na Bunge siyo halali kwa nini usikubali pia kuwa wajumbe wote wa bunge maalum la katiba siyo halali? Kwa nini usiseme wajumbe wote warudi home? Why only Lisu?
Aliyetamka kuwa Serikali ya Muungano ni BATILI ni Lissu, kwa hiyo atembee kwenye maneno yake, wengine watafuata mfano kama wamemwelewa!!
 
Kwan baba wa taifa yeye alikua awezi kukosea au yeye alikua mungu tundu lisu alichofanya ni kuainisha mapungufu yake

Mimi sizungumzii "mapungufu" nazungumzia UBATILI wa Muungano na implication zake!!
 
Hizo posho zitokanazo na kodi anazokula huku akisusia Bunge, anafanya hivyo kama nani?

Hao magamba wenzio kwa kipindi cha miaka 50 wamezidi kutuacha masikini kwa ufisadi wao,acha kutetea mambo kishabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…