Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama huna jicho la 3 huwezi kung'amua hili , Kunyimwa uwanja wa mazoezi hakukuja hivihivi tu , ulikuwa mpango maalum wa kuikomoa timu hiyo kutokana na matatizo ya Manji na chama cha kisiasa cha ccm .
Naomba kukiri kwamba mimi siipendi Yanga lakini fitna ilizofanyiwa hazina faida yoyote kwa yeyote na ni hasara kwa Taifa , jambo hili limeua kabisa morali ya wachezaji wa Yanga .
Wito kwa Katibu Mkuu wa Yanga , Mkwasa , siku nyingine ukiona hujuma dhidi ya timu yako nenda kwenye Mahakama ya umma badala ya kwenda kwa Katibu Mkuu wa ccm ndugu Kinana , hatokusaidia kitu .