Jinsi ugomvi wa Manji na CCM unavyoiathiri Yanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama huna jicho la 3 huwezi kung'amua hili , Kunyimwa uwanja wa mazoezi hakukuja hivihivi tu , ulikuwa mpango maalum wa kuikomoa timu hiyo kutokana na matatizo ya Manji na chama cha kisiasa cha ccm .

Naomba kukiri kwamba mimi siipendi Yanga lakini fitna ilizofanyiwa hazina faida yoyote kwa yeyote na ni hasara kwa Taifa , jambo hili limeua kabisa morali ya wachezaji wa Yanga .

Wito kwa Katibu Mkuu wa Yanga , Mkwasa , siku nyingine ukiona hujuma dhidi ya timu yako nenda kwenye Mahakama ya umma badala ya kwenda kwa Katibu Mkuu wa ccm ndugu Kinana , hatokusaidia kitu .
 
Yaani mambo mengine yasengeki kweli.
 
Tusiwasingizie ccm Yanga hakuna wazo mbadala nje ya Manji
 
Yanga yenyewe kama Taasisi, ni CCM, unawezaje kuitenganisha Yanga na CCM.
Sema tu wewe hata ukila unaota, inaonekana unaota siasa, angalia ukiwa mfuta vumbi mwenzangu siasa hukufanya uwe maskini wa kutupwa.
Utafiti unaonyesha wafia vyama wengi ambao sio viongozi kwenye vyama vyao ni maskini.
 
Mimi unanionea tu mkuu wangu , Ulitakiwa kumuuliza Mkwasa kwanini alienda kwa Kinana kulalamika .
 
Mara ya mwisho ilikuwa ni team gan ambayo ilifanyia mazoezi uwanja wa taifa. Nisaidie please katika hili. Na kwa nini kufanyia mazoezi taifa iwe haki?ukiomba si unaweza nyimwa?ulalamishi wa kijinga huu. Kama yanga au simba wangekuwa na uwanja wao hizi kelel za kipuuzi zisingekuwepo
 
Unamaanisha katibu wa chama hana meno tena ama?
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ ss mkuu hutaki na mm niwepo humu jf au?
Tunafanya biashara mkuu nakupa hela unaenda nunua nyingine, hizo cm madukani hakuna wanazo watu mikononi, ukiichoka nifate pm mkuu
 
Tusiwasingizie ccm Yanga hakuna wazo mbadala nje ya Manji
Kwa hiyo mnawaiga Yanga?
Simba hakuna wazo mbadala zaidi ya Mo. Angalia historia yake ya kukaa na timu kuanzia Mbagala Market na Singida United. Akijitahidi sana ni miaka miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…