Jinsi ulimwengu umehadaika na ufo

Jinsi ulimwengu umehadaika na ufo

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Kwa miaka nenda rudi, nchi kama marekani imekuwa na matukio kadhaa ya UFO(Unknown Flying Object). Madai abayo yamekuwa yakihusisha vifaa hivyo na uwepo wa viumbe wengine wneye akili na teknolojia kubwa kuliko binaadam wa sayari ya 3.

Ukiliangalia hili jambo katika mtazamo tofauti utagundua huenda kuna ajenda za marekani na washirika wake katika hili.

Kuna uwezekano hizi UFO ni majaribio ya teknolojia mpya katika mataifa kama Marekani, lakini ili kuhakikisha inabaki siri wakaja na neno UFO na ALLIEN kupumbaza dunia, hasa tukizingatia uvumi wa uwepo sehemu iitwayo AREA 51 huko USA.

KWA NINI NASEMA HAYA
Katika historia ya safari za anga isingekuwa rahisi mpaka sasa hakuna evidence kuhusu UFO au ALLIEN kwa jini teknoljia ilipofika.

Pili kama ALLIEN wana flexibility ya kufika Sayari yetu na kuondoka, haiwezekani waje tu na kuondoka for show kama wangekuwepo kweli tungekuwa na maeneo ambayo yameguswa na ujio wao, aidha wamechukua kitu ama malighafi fulani.

Pia kama ALLIENS wapo basi kuna uwezekano kuna viumbe zaidi ambao mpaka sasa tungeshajua uwepo wao maana nao wangekuja kama wajavyo ALLIENS.

MY TAKE
Pale Rockheed Martins kuna project nyingi sana za siri ambayo majaribio yake ndio naona hupewa jina UFO kuondoa attention kwa nchi maadui, na kwa kuwa huwa na technolojia ya kujificha kwenye radar inakuwa ngumu kuthibitisha kama kweli ni ALLIENS au MICHEZO ya wajuvi wa mambo.

Mnakaribishwa tujuzane zaidi kwa maoni zaidi japo tujifunze.
 
Tar 8 April kuna nini? Watu wa Tiktok wananishtua.
 
Unidentified flying Object (UFO)
 
UFO ni vitu real hata biblia imewaelezea.
Katika universe hatupo pekee yetu Dunia Pana maisha katika sayari zingine nyingi ambazo hazijagunduliwa.
Sayansi bado inakuwa
 
UFO aliens wapo more advanced kuliko sisi thus hakuna chombo chochote Cha mwanadamu kinaweza isogelea UFO uyeyuka
 
Back
Top Bottom