Ni kweli PUNYETO ni mbaya na ni hatari kubwa lakini hizi mambo nyingine sasa hususani za kwako ni stori za kufikirika. Haziingii akilini kisayansi wala kidini wala hata kiakili za kawaida
Ni kweli mtu anajengeka kisaikolojia kuna nguvu fulani ya msukumo (kwenye dini wanaita roho chafu) ambayo inamsumbua sana katika jambo hilo lakini haina maana kwamba ni zile mbegu ndo zinaumba hiyo roho, big NO.
Mbegu zenyewe kwanza mpaka ikutane na yai ndio inakuwa kiumbe hai kamili. Kidini hasa kiislamu ndio kabisa mpaka siku 120 tangu mbegu kukutana na yai ndo kunahesabika kuna kiumbe hai kamili