Ushauri nasihi
Member
- Mar 17, 2022
- 18
- 6
Upendo ni muunganiko was hisia,akili na tabia
Kuna Aina name za upendo
1 hakuna upendo
Ni Aina ya mahusiano ya KIMAPENZI ambayo hakuna mtyu anapenda mwezake
2 urafiki
Ni Aina ya upendo ambao kunakuwa na ukaribu tu
3 infatuated
Ni Aina ya upendo ambao mahusiano yao yanakuwa kwaajili ya hisia yaan kufanya MAPENZI tyu
4 mahaba
Ni Aina ya upendo was kimahusiano ambao wapendanao Hawa wanakuwa na ukaribu Sana pia hisia za KIMAPENZI yaan kufanya tendo la ndoa
5 empty
Hii no Aina ya upendo ambao mahusiano haya yanakuwa na maamuzi ya utekelezaji lakini hakuna ukaribu Wala hisia za MAPENZI mfano unakutana na mwanaume unamkubalia unafanyia tendo la ndoa
6 companionate
Hii ni Aina ya upendo ambao Kuna ukaribu, lakin hakuna maamuzi Wala hisia za KIMAPENZI
7 fatous
Hii ni Aina ya upendo ambao mtu anakuwa na hisia za KIMAPENZI na maamuzi pia mfano wale wanakutana wiki wanaoana
8 consummate
Hii ni Aina ya upendo ambao unakuwa na vitu vyote vitatu ukaribu Kati yao,kuwa na hisia za KIMAPENZI na kufanya maamuzi hii ni hatua ambayo kuifikia unakuwa ngumu kutokana na mwingiliano was Mambo mengi na kupata misemo tofauti mfano ukipenda usiende mzima mguu mmoja nje mwingine ndani kutokana na hiyo Hali inatukosesha kufika hatua hii.
NB vijana wengi wanajikuta wamejiingiza sehemu ambazo hawajasitaili kuingia kimahusiano kutokana na mda umeenda na kupelekea kujuta baadae kwa kukosekana kwa hiyo hatua ya mwisho hapo juu .inayopelekea kuharibu AFYA ya akili.
Panga vitu vyako mapema usiharibu AFYA yako ya akili kwa sababu ndio mtaji wako.
Nawasilisha

Upvote
0