Nakumbuka kwenye mashindano haya, jirani fulani tulimpapasa.
😁😂🤣
Kwenye mashindano haya tuliwapapasa. Huwezi kuwaona hapa.
Tusisahau walichokifanya Egypt lakini,msije niita wakala wa mabeberu.Kwenye mashindano haya tuliwapapasa. Huwezi kuwaona hapa.
Walichukua kwetu point 3 Afcon kumbuka mkuu .Viwango vya FIFA pia wako juu .Ni sawa, lkn angalia baada ya kuwapapasa haya mashindano, wenyewe wako wapi na sisi tuko wapi!!
Hilo ndiyo kubwa.
Unafikiri yatatupeleka wapi na je,yatatufanya kuwazidi viwango?Mashindano haya pia yanatambulika na FIFA.
Hivyo ndivyo upepo wa kisulisuli ulivyopita na kuifanya Taifa Stars kuibuka kidedea na kufuzu mashindano ya CHAN yatakayofanyika Cameron.
View attachment 1237786