Jinsi urembo wa ungo na sahani unavyoweza kupendezesha nyumba yako

Jinsi urembo wa ungo na sahani unavyoweza kupendezesha nyumba yako

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Mambo ya ubunifu hayo sasa sijui utanunua sahani kwa ajili ya chakula nyumbani au kwa tupambe ukuta? Au ungo kwa mimi ningetumia vile viungo vidogo vidogo tena siku hizi unaweza kuzipaka rangi hizo nyungo ukawa na rangi nzuri tu kulingana na namna nyumbani kwako palivyo au rangi unazopenda na mpangilio wa furniture ulivyo.

124553364395585687JXuM8lBc.jpeg

266908715385392256_uAxNQuQa_c.jpeg

Decorative-Switch-Plates.jpeg

DSC02515.jpeg
 
nyungo hapana!Nyumba haikawii kuwa zilipendwa
 
Back
Top Bottom