Jinsi Vimbunga/Dhoruba (Hurricanes/Storm) vinavyopewa Majina

Nenda kagoogle, andika history of hurricane names utajibiwa maswali yako yote likiwemo la kwa nini majina ya wanawake yatumika sana.
 

Nguruvi, kimbunga ni hurricane, storm ni mvua kubwa/nyingi yenye pepo kali na radi
 
Ingekua hapa bongo.. kingepewa jina SIMBA... hahaha natania tuuu....
 
mi unazidi kunipoteza
 
Hurricane Matthew aka Matayo kimeacha balaa kubwa huko Haiti.
 
Mwenye ufahamu naomba anijuze kwanini vimbunga vingi huitwa majina ya kike mfano hiki kimbunga kilichotokea Uingereza kuitwa kimbunga Dorisi.
 
Ebu ngoja niaubiri majibu wakisha amka
 
Mkuu...

Hii system ya kutajia majina vimbunga ilianza mwanzo mwa 1900s. Vilikuwa vinapewa majina yoyote tu mpaka mid-90s pale ilipoanzishwa system ya kutajia vimbunga majina ya kike.

Lakini 1979 vimbunga vilianza kupewa majina ya kiume pia. Kwahiyo ishu ya majina isikuchanganye sana mkuu..

Vimbunga vinapewa majina tu kwa ajili ya kupunguza ma-technical terms na numbers ili kurahisisha tu mawasiliano kwa watu tusio na ujuzi na hizo mambo za hali ya hewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…