Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA.

Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo.

Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp.

Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu kulingana na court order.

Ikiwa umeweka namba Yako ya simu kama 2FA vyombo vya usalama vinaweza kuona OTP unazotumiwa Toka kwenye email services provider unaowatumia.

Kitakachofanyika nikuforget password zako, email provider watatuma code na kisha kuweza kureset password zako, kuaccess mails zako zote, hii ni hususani Kwa wenye case mbalimbali ambazo confidential information zinaweza patikana Toka kwenye email, kitachofuata kama ni suspect tu haujakamatwa, watafuta logins to new devices alert especially kama haukuwa online, hautajua kabisa kwamba email Yako wameaccess.

Thread ijayo tutaangalia njia mbadala ambazo hazitaweza fanya upoteze access ya email Yako unayoitimia, kuzuia kabisa backup restore ya kwenye apps kama WhatsApp na kuzuia kabisa access ya SS nyinginezo.

snipa
 
Matumizi ya email kwa wabongo ni kidogo sana. Labda kwa makampuni ya biashara.
 
Back
Top Bottom