Jinsi waislam walio wachache wanavyonyanyaswa nchini India na wahindu wenye itikadi kali

Jinsi waislam walio wachache wanavyonyanyaswa nchini India na wahindu wenye itikadi kali

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Katika onyesho la kushangaza la kutovumiliana kidini, Wahindu wenye itikadi kali nchini India walibomoa nyumba ya raia wa Kiislamu kwa madai ya kuimba "Pakistan Zindabad" wakati wa mechi ya kriketi kati ya Pakistan na India.

Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari nchini humo, tukio hilo lilitokea Maharashtra, ambapo mwanamume moja Muislamu alikuwa akitazama mechi nyumbani kwake na ndipo alipoimba kauli mbiu hiyo, alishtakiwa kwa hisia za chuki dhidi ya India na wafuasi wa Hindu wenye msimamo mkali, ambao baadaye wakachochea umati wa watu kubomoa nyumba yake.

Tukio hili ni mfano mwingine wa mateso yanayoendelea ya walio wachache, hasa Waislamu, nchini India. Nchi imeshuhudia kuongezeka kwa ghasia dhidi ya Uislamu chini ya serikali ya Waziri Mkuu Narendra Modi ya Bharatiya Janata Party (BJP), ikichochewa na itikadi ya Hindutva.

 
Wahindu, wayahudi na wapagani ndo kiboko ya uislam na waislam

Waislam washaga zoea kumwonea mkristo tu kwa sababu mkristo yeye kafundishwa mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na la kushoto

Yaan mkristo hajui kulipa kisasi

Ila yahudi na wabudha aisee muislam huwa hana ujanja

Maana wale jamaa ukiua wawili wao wanakuja kuua elf kumi

Na popote pale walipo wabudha na wayahudi waislam huwa wanaadabu sana hata wakiambiwa wale nguruwe huwaga wanakulaga mfano china
 
Sijasoma hadi mwisho cause nimezoea kuona malalamiko ya Waislamu everywhere in world kwamba wana onewa, Waislam wanaonewa Sudan, Somalia, Zanzibar, wanaonewa Uarabuni, India, China, waki kinukisha Uarabu, wanakimbilia ulaya kwa makafiri, kule nako wakifika wanataka sharia law, zile zile zilizo wakimbikiza kwao.
Anyway, narudia, sijasoma hadi mwisho but paragraph chache za mwanzoni nimeona kama chanzo cha ugomvi wao hakikua dini, wamegombania cricket na utaifa wao, huyo Mpakistani alianza kuisifia nchi yake kwenye ardhi ya ugeni, ikumbukwe hawa walikuaga nchi 1 na baadae wakatengana vibaya; sijaelewa Uislam umeingiaje hapo
 
Back
Top Bottom