Jinsi wakazi wa Mbezi Kibamba wanavyotembea kifua mbele

komoakomesha

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
285
Reaction score
401
Maisha yanaenda kasi sana na maisha yanabadilika, lakini isiwe chanzo cha kudharau wengine, nimeona baadhi ya nyuzi humu wakazi wa Mbezi Luisi na Kibamba kutusema vibaya tunaoishi Mbagala.

Siku zote sikuona nyuzi za namna hio, eti kisa stendi mpya ya Mbezi magari yaendayo mkoani, niwaambie Jambo moja kila mtu ana haki ya kukaa sehemu aipendayo ni bora nikae Mbagala kuliko kuchangamana na akina Shayo, na kina Mushi mliojaa Mbezi, Kimara, Temboni na Kibamba, makazi mnapoishi mmejaza nguruwe na ng'ombe mbuzi Bata mzinga ni uchafu kwenda mbele.

Sisi hatuna shida na hio stendi wengine safari zetu ni mbele huko utasikia leo niko London mara Amelica sio kwenda mikoani ,nyie wenye shida za kwenda mikoani ndo mkae huko.
 
Hahaha... Mkuu mimi nakaa huko lakini wala sijawahi kumdharau mtu anayekaa Mbagala au Buza, ina maanisha unatuhukumu sisi wote?
 
... kwa kweli hata mimi sikumwelewa yule aliyeleta ule uzi wa kuidharau Mbagala!
 

Nimeona matumizi Mabaya ya R na L mfano mbagala imetamkwa Mbagara, American imetamkwa Amelican, Mbezi Kimala badala ya Mbezi kimara.

Bila shaka wewe ni Mtu wa Musoma nakushauri kama kijana mwenzio penda sana kusoma soma vitabu ujue matamshi asante.

The living Legend.
 
komoakomesha sio?
 
Uwe na uwezo wa kwenda America uandike Amelica? Unatania
 
Akil yko ndogo ujui Tecno inavochapia
Kumbe hiyo ndio akili kubwa! Yaani kutokuijua Tecno ndio akili ndogo!
Ungekua na akili kubwa ungekua unahariri maandishi yako kabla hujayapost humu,mtu anaweza kudharaulika kwa uandishi mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…