Jinsi Wakenya wanavyofuatilia kila linalosemwa na Magufuli ni dalili ya umuhimu wa Tanzania katika maisha ya wakenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Big Blow To EAC Following President Magufuli's Utterances

Tanzanian President, Hon John Pombe Magufuli, has hit back to countries that have been on lockdown. His latest speech has left many netizens wondering and thinking that he is the man who will kill the East African relationship.

Hon Magufuli, in his speech has instructed farmers and traders in Tanzania not to sell their food stocks to countries that have been on lockdown. Magufuli has also added that if their is need to sell the food stock to neighbouring countries, then farmers in Tanzania should hike the prices

To get the full video of Magufuli speaking, click on the link below

Internet has erupted with #magufuli. Online users are having mixed reactions.
Some are saying that Magufuli was right by not imposing lock down in his country while some are thinking that Magufuli will kill the relationship the East African community(EAC) has been enjoying since it was formed.

A Netizen by name Anthony Mullah has stated that if the relationship between Kenya and Tanzania will deteriorate then EAC will fall. "East africa community was formed in 1967, Magufuli came to power to kill it, if tanzania kenya relationship deteriorate then EAC will be dead, that's not the east africa i want to see," Says Anthony Mullah.

===========

MY TAKE: Hii "reaction" ya Wakenya ni dalili kwamba Kenya inategemea sana Tanzania kwa chakula, bila Tanzania hakuna maisha Kenya.
 
Mwanzoni nilikuwa najua tuna mtoto mmoja tu anaitwa Burundi, kumbe tuna toto lingine kaidi na nyang'au lakuitwa Kenya! Ni wakati wa kumnyoosha huyu mkaidi hata akivunjika sawa tu ila inatakiwa anyooshwe ili awe na adabu.

Nataka nishuhudie maajabu ya uchumi wa Kenya baada ya hatua zilizochukuliwa kwenye kilimo na usafiri wa anga. Nataka niione nguvu na jeuri ya kenya kwa hatua zilizochukuliwa kwenye sekta ya madini na utalii. Nataka niione nguvu na ubora wa kenya baada ya maboresho ya miundombinu ya reli, barabara, vivuko na meli.

Kimsingi kenya imeshapoteza pambano. Now they're playing a blaming game. Choko choko na Tz hazitaisha ili ionekane sisi wabaya. UK ni big failure. Upofu wake kwenye uongozi anataka uonekane sisi ndio tunamkwamisha.

Kimsingi mwenye shamba hataki tena utani na mali zake shambani. Sasa kenya nongwa ya nini? Uchumi wenu umejengwa hewani kwa kutumia mgongo wa Tz and yet bado mna idharau Tz. You take our kindness as a weakness. Sasa tukiamka mnaanza kulia lia na kutafuta visa. For what?

Ila mimi nafurahi, historia ni nzuri sana, hujuma aliofanya snr kenyata kwa the former EAC ni kubwa. Aliiharibu Tz kiuchumi na kwa propaganda awezavyo, na bado kuna mali alizishikilia . Leo kiko wapi? Karma is a bitch! We regain our glory as a super power in EAC tena under his son nose! That spoiled and drunkard kid.

Viva Tz..
 
Big Blow To EAC Following President Magufuli's Utterances

Tanzanian President, Hon John Pombe Magufuli, has hit back to countries that have been on lockdown. His latest speech has left many netizens wondering and thinking that he is the man who will kill the East African relationship.

Hon Magufuli, in his speech has instructed farmers and traders in Tanzania not to sell their food stocks to countries that have been on lockdown. Magufuli has also added that if their is need to sell the food stock to neighbouring countries, then farmers in Tanzania should hike the prices

To get the full video of Magufuli speaking, click on the link below

Internet has erupted with #magufuli. Online users are having mixed reactions.
Some are saying that Magufuli was right by not imposing lock down in his country while some are thinking that Magufuli will kill the relationship the East African community(EAC) has been enjoying since it was formed.

A Netizen by name Anthony Mullah has stated that if the relationship between Kenya and Tanzania will deteriorate then EAC will fall. "East africa community was formed in 1967, Magufuli came to power to kill it, if tanzania kenya relationship deteriorate then EAC will be dead, that's not the east africa i want to see," Says Anthony Mullah.

===========

MY TAKE: Hii "reaction" ya Wakenya ni dalili kwamba Kenya inategemea sana Tanzania kwa chakula, bila Tanzania hakuna maisha Kenya.

Mwanzoni nilikuwa najua tuna mtoto mmoja tu anaitwa Burundi, kumbe tuna toto lingine kaidi na nyang'au lakuitwa Kenya! Ni wakati wa kumnyoosha huyu mkaidi hata akivunjika sawa tu ila inatakiwa anyooshwe ili awe na adabu.

Nataka nishuhudie maajabu ya uchumi wa Kenya baada ya hatua zilizochukuliwa kwenye kilimo na usafiri wa anga. Nataka niione nguvu na jeuri ya kenya kwa hatua zilizochukuliwa kwenye sekta ya madini na utalii. Nataka niione nguvu na ubora wa kenya baada ya maboresho ya miundombinu ya reli, barabara, vivuko na meli.

Kimsingi kenya imeshapoteza pambano. Now they're playing a blaming game. Choko choko na Tz hazitaisha ili ionekane sisi wabaya. UK ni big failure. Upofu wake kwenye uongozi anataka uonekane sisi ndio tunamkwamisha.

Kimsingi mwenye shamba hataki tena utani na mali zake shambani. Sasa kenya nongwa ya nini? Uchumi wenu umejengwa hewani kwa kutumia mgongo wa Tz and yet bado mna idharau Tz. You take our kindness as a weakness. Sasa tukiamka mnaanza kulia lia na kutafuta visa. For what?

Ila mimi nafurahi, historia ni nzuri sana.. hujuma aliofanya snr kenyata kwa the former EAC ni kubwa. Aliiharibu Tz kiuchumi na kwa propaganda awezavyo, na bado kuna mali alizishikilia . Leo kiko wapi? Karma is a bitch! We regain our glory as a super power in EAC tena under his son nose! That spoiled and drunkard kid.

Viva Tz..
Mzee baba JPM kawashika pabaya...
Mzee baba JPM kawashika pabaya...
Tumefunga mpaka Hadi madereva wenu wapimwe otherwise uchumi wenu upo mikononi mwetu. Muwapime vizuri hao maderai la sivyo wasahau kitega uchumi Chao.

Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona
 
Lolote linalotokea Tanzania, linaathiri maisha ya wakenya moja kwa moja, tatizo kubwa la Kenya ni njaa na ajira.
Acha mindset za kijinga, tunaishi kwa kutegemeana, mie ni mtz halisi nisiyeunga mkono mawazo ya kipumbavu kwa kivuli cha uzalendo!
 
Boss umeelewa hizo taarifa lakini, kuna jambo nzuri kumhusu ambalo limezungumziwa zaidi ya ukasuku wake Mr. Bean? Unaona sifa rais wako anapozungumziwa kila mara kwa mambo ya ajabu ajabu na ya kishamba ambayo huwa anayanena na kuyafanya? Kukurupuka kwake na sera zake mbovu za kibiashara na zisizokuwa na mipangilio ndio zimepunguza kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tz na zikawakosesha wawekezaji wa maana. Acha ushabik wa kimaandazi na ujaribu kushirikisha ubongo kwenye masuala kama haya.
 
Hahahaha, wewe kwa wivu wenu ndio mnaosema hivyo. Ukweli ni kwamba Kenya mnamuogopa sana Magufuli, yaani mnamfuatilia kwa kila analosema mkidhani inailenga Kenya.

Akisema wakulima wauze bidhaa zao kwa bei ya juu mnasema lengo lake ni kuiadhibu Kenya, wakati wanunuzi wakubwa wa mazao ya Tanzania ni nchi za kusini na WFP.

Leo amezungumza na waalimu wa Tanzania na anezungumzia mambo ya Tanzania,unahisi amewalenga wakenya. Mbona sisi hatufuatilii Uhuru Kenyatta anayoyasema?

Magufuli ndiye rais aliyeimarisha uchumi wa Tanzania kuliko marais wote waliopita, dunia nzima inajua hivyo na hata ninyi wakenya mnalijua hilo ndio sababu mnamuogopa sana na kufuatilia kila analosema.
 
Lolote linalotokea Tanzania, linaathiri maisha ya wakenya moja kwa moja, tatizo kubwa la Kenya ni njaa na ajira.
Aise!Leo tena wamekanyagana huko Gachie kwenye mgawo wa chakula,wengi wako mahututi,yaani njaa kwa kwenda mbele,hwa nugu huwa tunawaambia sisi ndio tunawalisha,wanapiga kelele.
 
Njaa bana ya ajabu sana inaweza kukuondolea utu wako ona mkenya anavyonung'unika. Na mkiendelea kutokuwa na heshima humu JF, chakula mtakisikia tu KTN.
 
Back
Top Bottom