Jinsi wanaume wanavyonunua Condom

Usalama wa Taifa [emoji16] [emoji16]
Kabisa usalama wataifa mzee ukitaka ufanikiwe usiwe na maneno mengi salamu alafu unakuwa ushakagua kama bidhaa ipo ukishaiona una mwambia kamabado anabung'aa unaongea huku kidole chako kinasonta bidhaa husika usiwe serious kuwa mwingi wa tabasamu akikwambia nikufungie mwambie achatu alafu geuza soma kwenye expire date kulazako kona kama ronaldo vile
 
[emoji16] [emoji16] we jamaa noma
 
haa.,ntapat shda bhas siku kienda kununua,muwe mnaend t kuchkua za msd znazowekwa t mezan kam ukiend health centre yoyte!
 
Ukienda shop ukakuta mdada inakuwa ngumu Kweli sio uongo
Mjomba mimi huwa sivungi ,afya ya kwangu nimuonee aibu nani ? Tena napenda nikute anayeuza Pharmacy awe mwanamke
Mi kuna siku nilienda kununua asubuhi mida ya saa tatu hivi, nikamkuta Dada Mzuri tu akiwa na Mwanaume mwingine sijui nae muhudumu yule maana alikuwa akikagua kagua baadhi ya Dawa, nikamuuliza,"Kondom zipo?".akajifanya hajanisikia nikapaza sauti ya juu mpaka yule jamaa akasikia,"KONDOMU ZIPO?". Akaniuliza tena,"Unasema!?". Mi kikauzu tu nikamuuliza tena kwa sauti ya juu safari hii hata mtu aliyepo kwenye mlango kwa nje angesikia,"KONDOMU ZIPO?" Yule jamaa kuona Dada anazingua akamwambia,"Anaulizia Kinga". Mi nikamjibu, "amenielewa sana ila anafanya makusudi tu", yule jamaa akasema, "Unanunua KONDOMU asubuhi yote hii!". Nikamjibu,"Sa kama mi nimeagizwa ntafanyaje!". Yule Dada akaniwekea zile kondomu kwenye Pakti ya Dawa mi huyooo nikasepa zangu
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] we jamaa.. Nimecheka sana
 
Haaahaaa mwanangu umenichekesha kweli huyo dem mpuuzi sana alafu huwezi kukaa duka ladawa kama sio mtaaluma wa phamasia au afya sema wanajisahaulishaga tu
 
Kondom zipo?
 
Haaahaaa mwanangu umenichekesha kweli huyo dem mpuuzi sana alafu huwezi kukaa duka ladawa kama sio mtaaluma wa phamasia au afya sema wanajisahaulishaga tu
Hamna mkuu, yule Demu alikuwa anazingua tu alidhani nitamuonea aibu,kumbe kanikuta mi mwenyewe kauzu balaaa! Nilitaka kumuuliza kama anaona wivu nikaamua kumpotezea maana sijajua yule jamaa niliyemkuta nae Dukani ni nani kwake, ningemkuta peke yake ningemtongoza na yeye
 
Mkuu maduka ya karibu na kwangu au kwa mtu anayenifahamu huwa siendagi kabisa..[emoji134]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] yeye anafikiri kila siku watu wanakuja kununua panadol tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…