Nataka kuwa mchawiiii
Ngoja nikampm
kichwani kapigwa nyundo au ni nini jamani?Daah....huyu jamaa..
Ningependa urudie ile stori uliyobakwa na dume mwenzako ktka Video.....ingependeza sana
Anajua na huku ni facebook atanifanya awe kaka angu wa hiarikichwani kapigwa nyundo au ni nini jamani?
Nunua camera nzuri mkuu
Mkuu hujafunga kishikizo
Ukivua kofia kichwa kama mlima
Wanawake ndio wamekuumua kichwa eeHahahahahahah
mkuu kisandu umeongea vyema
extra[emoji16]
kichwan kwako inaonekana
volcanic activities zimefanyika
na kutengeneza features mbali
mbali mfano hapo nimeona folding
mountain very atractive feature ... siku njema mkuu asante kwa ujumbe
Bila kusahau geysers, hotspot na geothermal emissions,mkuu kisandu umeongea vyema
extra[emoji16]
kichwan kwako inaonekana
volcanic activities zimefanyika
na kutengeneza features mbali
mbali mfano hapo nimeona folding
mountain very atractive feature ... siku njema mkuu asante kwa ujumbe
Bwana kisandu
Bila kusahau geysers, hotspot na geothermal emissions,
Nakatika zile extrusives zilizo bahatika kuingia kwenye medula zikatengeneza pahoehoe na pillow lava features.
Huyo jamaa ni very complex asee
Napenda ninachokisikiaNipo mkuu.