Jinsi Wasabato wanavyoteseka, kukereka na kuumizwa kisaikolojia na ukuu na utukufu mkubwa wa siku ya Jumapili ambao misingi yake ni ya kibiblia

Jinsi Wasabato wanavyoteseka, kukereka na kuumizwa kisaikolojia na ukuu na utukufu mkubwa wa siku ya Jumapili ambao misingi yake ni ya kibiblia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu Wasabato:

Natambua mnaumizwa sana kiakili na kisaikolojia hasa mnapojikuta hamuwezi kuupindua ukweli huu wa Kibiblia na badala yake mnaishia kulaumu Kanisa la Roman Katholiki kwamba ndiyo wamefanya hvyo.

Yaani mpo tayari kukosana na kugombana au kumnunia yeyote atakayetaja au kutamka Ukuu wa siku tena Kwa kunukuu maandiko!

Niwajulishe kuwa Utukufu wa siku hii hautokani na Kanisa bali misingi yake ni maandiko matakatifu.

Kwanini uumizwe na ukweli unaotokana na maandiko matakatifu yenye uvuvio wa roho wa Mungu?

Hakuna namna yeyote unaweza leta hoja kuishusha siku takatifu ya Jumapili labda utumie hoja zilizo nje kabisa ya maandiko

Niwaombe mtambue kuwa neno la Mungu ndiyo taa na mwongozo na mambo ya kiitikadi ya kimadhehebu hufuata baadaye!

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Siku njema
 
Safi sana kijana.

Sasa hebu weka/andika huo utakatifu wa siku ya jumapili kutoka kwenye hicho kitabu Bibilia.

Ukiandika as it umeoteshwa bila evidence ni sawa na paroko akikwambia 'mkate huu ni mwili wa kiristu uliotolewa kwa jili yako' nawe ukadhani ni mwili kweli..!!.

It's written.
Copy!.
 
Kati ya waumini smart kimaandiko ni wasabato, msabato halisi hakuletei hadithi tu bila maandiko,

Huwa nawakubali saana hata jinsi wanavyoishi na watu
 
Back
Top Bottom