Wasanii wengi 2 niliwaona kwenye lile tamasha hawakuvaa hzo tshet,nazan ni vyema waandaaji kuwapa masharti b4,kama kweli msanii anajihic hawez kupiga show bila kuvaa ki'sharobaro' anapigwa chini anatafutwa mwingine,wasanii kbao wanaotaka nafas km hzo ya nini kusumbuana na hao wasio waelewa...?!