Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Ama hakika maisha ni safari ndefu, USA inaonekeana kuwa kimbilio kwa wanyonge walio wengi.
Vipande vya video nilivyoambatanisha zinaonesha vile watu walivyo serious na maisha mpaka kuamua kuchukua risk kubwa mno kutembea kwa miguu zaidi ya kilometer 7200 kuitafuta boda ya kuingia marekani.
Unaujua msitu wa Daren wewe?
Watu wanakatiza umo kutoka corombia, brazil you name it, wakiwa kwa miguu wengine wakiwa na familia zao yani full set (baba, mama na watoto) wengine wakiwa Ujauzito na wengine wakiwa wamebeba vichanga vibichi kabisa.
Wasafiri sio kutoka kusini mwa amerika tu bali hata watu kutoka Africa, Asia(india, Pakistani yani nchi zote za kimasikini masikini)
Watu wakivuka boda chap kidogo wasionwe na maafisa