Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,750
Wherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life.

So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Unaweza ukaenda straight PM ila more times than not haita end well.

Ila use this guideline and you might have a shot.

1. Usiwe mchoyo wa likes. Yaani mmwagie huyo mtu like popote pale unapoiona comment yake. Hii ni kama unaji-introduce bila hata kumpa hi, ile kuona jina lako kila saa kwenye notification, ni introduction tosha.

2. Baada ya step one. Anza kuchangia comment zake, ukiona amecomment popote, anza kujibu comment zake. At first try to keep it short and to the topic.

3. Endelea kuijibu comment zake pale utakapoziona, ila safari hii anza na kuingiza matani ya hapa na pale. Ukiona na yeye ana-respond vizuri basi hapo ujue kashaanza kukuzoea.

4. Endelea na namba tatu, ukiona mko kwenye thread ya watu hadi mnatoka nje ya mada na yeye anaendelea kukujibu tu. Basi ujue ni muda muafaka sasa wakuzama PM.

5. After the steps above, zama kwenye PM yake, hutakutana na kipingamizi chochote kwavile anakuwa ashakuzoea so atakuwa anakujibu tu vizuri. Ukiona PM yake imefungwa, omba akufungulie, itakuwa nadra sana kukataa.

6. Endeleeni kulisongesha PM, ila usi-act desperate, after a few days of chatting omba namba. After that utajua mwenyewe mtaendeleaje baada ya hapo.

NB. Hii strategy has a 90% chance of working. Ukiona mtu hakujibu/ changamkii kama wewe unavyomchangamkia kwenye threads mbalimbali au hata mkienda PM. Let it go. Otherwise unaonekana msumbufu tu.

Strategy nyingine ni kutafuta influencer au mtu popular humu ndani na kuwa friends nae. And here comes the wonderful thing about human psychology, watu wakikuona uko friends na mtu fulani ambae ni popular, they will always want to associate with you too. So inakuwa ni rahisi sana na wewe kuzoeana na wengine, hata hupati tabu.

So go forth and prosper friends!
 
Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha

"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"

Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!

Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
 
Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!

Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz

Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.

*nafundisha kutongoza bure
 
Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe mamba havina kitu vimebeba pmb tu.

hahhahha eve leo nakugawa rasmi.... xmas nilitumiwa wine 3 dadeq!kwa njia hyo hyo!jimiminia weeeee!dadeq!

siku nyingne katokea jamaa ...nikamwambia sijafika job usafiri leo sina!why mamy!nikamwambia ah bima imeisha!naogopa trafk...hela ya bima hyoooo!ila hz technique waanweza wale wakaka age fulan!safiiiii!
 
Ukiwa na pesa mkononi, you can afford to go straight to the point. Its good umewapa technique nyingine. Ila wengine waoga, kutuma hela kwa mtu usiemfahamu napo changamoto.

hahaha. Usiwe cockblocker...
 
Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!

Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz

Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.

*nafundisha kutongoza bure

hhahahhahaa nakufa huku mm jaman!mm pia spemdi salam nying jaman!arghhh nahayo ma xx ndo kabisaaaa!akikuambia naenda lunch jiongeze!
 
hahhahha eve leo nakugawa rasmi.... xmas nilitumiwa wine 3 dadeq!kwa njia hyo hyo!jimiminia weeeee!dadeq!

siku nyingne katokea jamaa ...nikamwambia sijafika job usafiri leo sina!why mamy!nikamwambia ah bima imeisha!naogopa trafk...hela ya bima hyoooo!ila hz technique waanweza wale wakaka age fulan!safiiiii!
Yeah wanaofanya hivi wanakuaga wanaume flani matured, wenye tabia za kiume,yani ni real men....
Mbarikiwe sana real men kokote mliko, muongezewe zaidi mnapotoa.
(Basi vikware hapa vitanyapia baadae vipige uturn pm vijifanye navyo ni vi real men)
 
Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha

"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"

Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!

Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
hahaaa Evelyn bwana " hizo takwimu alizozitaja bwana muandishi" ni takwimu zinazo tumiwa na wabahili ". tu peke Yao
 
Ukiwa na pesa mkononi, you can afford to go straight to the point. Its good umewapa technique nyingine. Ila wengine waoga, kutuma hela kwa mtu usiemfahamu napo changamoto.

hahaha. Usiwe cockblocker...
Inahitajika approach nzuri hata kama mtu ni broke a.s.s sio kuja vuuuuu kama kibajaji
Kutongoza mtandaoni means umekubali kubet hapo ni mawili KULA au KULIWA!!!
 
Yeah wanaofanya hivi wanakuaga wanaume flank matured, wenye tabia za kiume,yani ni real men....
Mbarikiwe sana real men kokote mliko, muongezewe zaidi mnapotoa.
(Basi vikware hapa vitanyapia baadae vipige uturn pm vijifanye navyo ni vi real men)

huu mziki mnene haviwez!hakawiii kukutumiabuku ya chai!mxiewwww!khaaa wewe eve wewe mm nacheka hapa!ngj nibebe kurudi kwangu aisee!ntakuibukkia siku 1 pm!
 
Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!

Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz

Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.

*nafundisha kutongoza bure
hahaaa ... Shunie mzigua Demiss
 
Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!

Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz

Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.

*nafundisha kutongoza bure
Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha

"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"

Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!

Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
hujawahi kuniangusha
yaani hata unipige mtama sianguki
nakupenda sanaaa
japo hunijibu pm zangu
 
Back
Top Bottom