Nimekuelewa bro !Ushawah kuagiza kitu online ukaja kuta sio kama kinavyoonekana kwenye display ila fresh tu maana shit happens
Acha uongo bibie.Sijawahi kutongozwa.
Bro hatuwezi kukosea tena...! Baada ya somo hili.Kuna somo hapa, naamini wadau hawatakosea step tena
Noted[emoji41]na ww nakupa kazi ukisikia tangazo lililosimama alert me aisee
πππππ mostly hamjaelewa tulichomaanisha!hapa hatuko sokon my dear !mlikuwa mapewa techniques tu!...Sio tunakuja PM unatuletea mang'amu mang'amu.
boss!boss mpana weweNoted[emoji41]
Atakayekosea tena atakuwa na kichwa kigumu[emoji3]Bro hatuwezi kukosea tena...! Baada ya somo hili.
Mimi siko huko,namaanisha ikitokea nikija PM tuhurumiane,yaani kuna huruma ya majibu na kauli sio huruma ya kunikubalia la hasha.πππππ mostly hamjaelewa tulichomaanisha!hapa hatuko sokon my dear !mlikuwa mapewa techniques tu!...
Bila shaka.Atakayekosea tena atakuwa na kichwa kigumu[emoji3]
hapa nimeccchhhhheeeekaaaa!dah!Mimi siko huko,namaanisha ikitokea nikija PM tuhurumiane,yaani kuna huruma ya majibu na kauli sio huruma ya kunikubalia la hasha.
Yaani pia huruma ya kutonipiga hela,yaani ilimradi huruma tu itawale katika kila nukta.
Asante sana !
Nimefurahi kwa kunielewa.hapa nimeccchhhhheeeekaaaa!dah!
πNimefurahi kwa kunielewa.
Unanichanganya !π
Kuna somo hapa, naamini wadau hawatakosea step tena
π±Sijawahi kutongozwa.
wewe km paper inaonekana utafeliKwani real men wakoje bro ?
[emoji120][emoji120][emoji120]Ahsante!napendaga tu comments zakoo
Acha bana, achaaMOTP himself
Vipi tena hiki kikohozi?Kho kho kho