Jinsi Watumishi wa Serikali wanavyotumiwa kama uchochoro wa kupiga fedha za miradi

Nyamesocho

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2023
Posts
487
Reaction score
1,287
Watumishi wengi wa serikali hasa watumishi walioajiriwa kwa taaluma yao serikalini ni waadilifu ni wachache sana ambao si waadilifu katika kusimamia miradi ya maendeleo

Wafuatao ndiyo wanapiga fedha za miradi kwa kutumia watumishi wa serikali na mtumishi anapojaribu kuhoji hii kitu imekaaje huambulia vitisho vya kushushwa cheo, kupigwa adhabu kwa kuhamishwa kwenda mazingira magumu au kutungiwa kesi na wengi wanaogoma huambulia demotion ya wakurugenzi na wakuu wa Idara

1. Wakurugenzi wa Halmashauri, hawa watu wengi wao wanapopewa kazi hii wanataka utajiri wa haraka hivyo hushirikiana na manunuzi kutafuta wazabuni kwa gawio la percentage kadhaa, hivyo wenye miradi hupewa majina ya wazabuni ambao unapaswa kuchukua vifaaa,mfano kama mradi utatumia milioni 200 kununua vifaa basi mzabuni atatakiwa kupandisha bei ya vifaa hivyo mkurugenzi apate kiasi fulani kwenye miradi, fikiria mkurugenzi amepokea bilioni 20 kwa ajili ya miradi, mkurugenzi atahakikisha anaondoka na milioni 500 za mradi kwa janja janja nyiiingi ,( Utajiri wa haraka baada ya kusota mitaani)

2. Madiwani nao ni miongoni mwa wanaolazimisha watumishi wanaosimamia miradi kupiga fedha za miradi mfano, Diwani anahitaji anayesimamia shule au zahanati inayojengwa ampe kitu kidogo ili asifuatilie kila kitu kwenye mradi,endapo mtumishi amegoma Diwani huunda zengwe la kutafuta kasoro yoyote kwenye mradi ili mtumishi huyu apate dosari na ikibainika mtumishi ana dosari ya mradi Diwani hutumia njia hiyo kupata kiasi fulani kutokana na mradi unaoendelea

3. Wakuu wa Idara, licha ya watu hawa kuwa ni watumishi wa serikali, hawa watu wakishaona mkurugenzi amepata kiasi fulani kwenye mradi na wao hawatulii, hutumia mbinu mbalimbali ili nao wapate kidogo mbona boss amepata kwa nini isiwe sisi ?

4. Kamati za siasa za CCM Wilaya nazo zinashiriki kupora fedha za miradi, ikiwa mradi unaanzishwa sehemu fulani mara moja Kamati ya siasa ya ccm huanza kupitapita na kuweka vitisho kwenye miradi, endapo kule juu wameishamega kifungu fulani kwenye mradi kwa vyovyote mradi nao utaanza kuyumba, matokeo yake Kamati ya CCM ikipita nayo ili itulie itaanza kudai chao ili huyu mtumishi anayesimamia mradi asichukuliwe hatua kali na chama

Reference: Mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya Magoma, Halmashauri ya Tarime DC
 
Hiyo reference, pesa zimepigwaje mkuu
 
Sio kweli kabisa na inawezekana umeandika kwa hisia zaidi kuliko uhalisia.
 
Kwa ulichoandika inawezekana wewe' ni mtumishi wa Umma...

Lakini pili haupo kwenye hizo kamati au hujashirikishwa na ndio maana unayaandika haya kwa kuogopa kuwa face wahusika, au uli wa face wakakutolea nje...

Shida niliyoiona kwenye mambo ya Miradi ...
1. Kuna watu' mnakwenda na expectation zenu kwenye hiyo miradi
2. Mmezoea posho posho
3. Ni watu ambao mkiambiwa ukweli juu ya uendeshaji wa hiyo miradi, hamtaki kuelewa bali mnakuja na idea zenu za hovyo hovyo... Lengo mtimize matakwa yenu...
4. Mmekuwa watu wa kuwalaumu na kuwatupia lawama wanao simamia miradi hiyo, lakini ungepata nafasi ya kuvaa hivyo viatu vyao ,usingethubutu kuweka hata pua yako hapo

Nimewahi kushuhudia mradi mmoja hivi ndio maana nimeyaandika haya....

Mkuu' Cha kukushauri, jitahidi kuonana na idara zinazohusika ili kufuatilia Miradi inavyoenda, kama ni ofisi ya mkurugenzi ndio wanatakiwa kukupa majibu ya yanayokusibu nenda, kama ni ofisi ya mganga Mkuu nenda, umeona hujaridhishwa zipo taasisi zinazosaidia na kusimamia hakikisha unawafikia....

Kuna wakati hao unao watuhumu huenda wamepewa deadline ya mradi kuisha na fedha haitoshi kukamilisha Mradi huo, na wanaumiza vichwa huko walipo... Mpaka Kuna wakati wanakosa usingizi kwaajili ya manufaa ya wananchi wenu...

Ila genge la watu wachache kama wewe ndio mnao ona Kuna upigaji...

JITAHIDI USHIRIKIANE NA WENZIO KWA MAENDELEO YA WANANCHI WENU
 
Back
Top Bottom