Jinsi ya ku-appeal tcu.

Joram kiango

Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
82
Reaction score
16
Kutokana na kuchaguliwa Business communication & it (muccobs) ambayo ni ya mwisho kuichagua james malya anaomba msaada jinsi ya ku-appeal tcu au vigezo vinavyozingatiwa kubadilisha faculty vyuoni
 
sheria na kanuni za kufanya hvyo znatofautiana kulingana na chuo husika. So nenda kwanza chuon ujue sheria zao. Kwa UDSM ni lazma vgezo au perfomance ilyokufanya uchagulie koz hyo ni lazma imeet na perfomance au vgezo wanavyovitaka katka koz unayotaka kuhamia na pia iwe unahama withn the college mfano kwa UDSM ni vgumu kutoka college ya CASS kwenda UDBS. So cjui kwa vyuo vngne. Jarbu kufka chuon kwako.
 
Kutokana na kuchaguliwa Business communication & it (muccobs) ambayo ni ya mwisho kuichagua james malya anaomba msaada jinsi ya ku-appeal tcu au vigezo vinavyozingatiwa kubadilisha faculty vyuoni

Kuappeal? Si aliichagua hata kama ni ya mwisho si aliichagua ?
 
kwa sasa tcu hawawezi fanya lolote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…