unapotoka exit boarder, Tunduma unatakiwa uwe na kadi ya hiyo gari kuna fomu utaijaza ambazo ni maelezo kutoka katika hiyo kadi ni fomu moja tuu then ukimaliza utasaini utapewa hiyo fimu moja kwa ajili ya kuingianayo Zamvia ili kupata fomu yai ya Transit na kulipia toll fees,insurance kuna tizo aina nne pale sema sijajua aina ya hiyo gari kubwa au ndogo then hizo ulizozipata Nakonde utakapofika Livingstone boarder ambayo ndio unaingia Botswana usisahau kujaza form pale na kuonyesha gari imetoka Zambia inaingia Botswana..Kazungura boarder upande wa botdwana unampa Agent ni kama usd 50 hivi yeye atalipia bima,tozo ya barabara kama unapita au unaenda kutembea Botswana lakini kama gari ingia Botswana moja kwa moja utamwambia agent ili aingize kwenye system yao ya makadilio ya kodi unaruhusiwa kuondoka na gari na kodi utalipia Gaborone au mji wowote ambao utafikia utapewa siku kadhaaza kukamilisha hayo malipo...