Weka vitu hadharani kwani wenye kisomo cha MAGUMASHI*2 hivi tuko wengi tu!:welcome:Uni pm
ushauri mzuri mpendwa lakini inaniuma ni kama ntakuwanilipoteza muda na pesa nilizotumia kusomea a level nje afu kinachouma zaidi nilijitahidi nisirudie makosa ya o level na nimefaulu na nimebadili matokeo necta kwa a level suala la principle pass halina shida ila o levelSijaelewa, hiyo o level umeipata tz? Kama ndio basi unaweza kusoma diploma na kisha degree. Ok!