Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Waungwana, mada hapo juu yajieleza. Naomba msaada namna ya kulock baadhi ya chaneli katika king'amuzi cha Azam.
Asanteni
Asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona option ya kuweka passwordBonyeza Menu
Kisha Digital
Kisha Channel Manager
Kutatokea Chanel na chini
Utaona maneno kama
Favourite, Lock Delete na Move
bonyeza Lock ina doti ya yellow.
Itataka password weka 0000 kama hujabadili password.
Chaneli uliyokusudia itakuwa Locked. Ukitaka kuifungua unaweka password kuangalia