Bonyeza Menu
Kisha Digital
Kisha Channel Manager
Kutatokea Chanel na chini
Utaona maneno kama
Favourite, Lock Delete na Move
bonyeza Lock ina doti ya yellow.
Itataka password weka 0000 kama hujabadili password.
Chaneli uliyokusudia itakuwa Locked. Ukitaka kuifungua unaweka password kuangalia