Jinsi ya ku "Remove write protection" kwenye used flash drive

Jinsi ya ku "Remove write protection" kwenye used flash drive

Herry jr

Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
74
Reaction score
134
Kwa yeyote anaejua jinsi ya ku remove "write protection" kweny flash drive au kui format flash drive ambyo ipo write protected naomba anisaidie maana cwez kui format wala ku insert file llte. Before nilikuwa naweka mafaili kama kawaida na ku transfer lkn sahv nashangaa inazngua, inasoma "Read only"

Nmetumia means zifuatzo so far but haija work out.

1. Using Disk Part (cmd)
2. Using registration edit (regedit)

Please mweny suluhisho tpfaut na hlo anisaidie
 
Hilo tatizo ni very critical nakumbuka niliwahi kukutana na msala huo ikabidi tu nitupe Flash yenyewe

Mkuu Chief-Mkwawa unaweza kutusaidia kwenye hili
 
Nilikuwa na flash yenye issue kama yako nikatumia mbinu zote zilizopo google na sikufanikiwa.
 
1. Kuna flash zina switch ya write protection angalia kama yako pia inayo, unaweka on na off hii husaidia virusi visiingie incase unahamisha file toka flash kwenda computer yenye virusi.

2. Flash ikianza kuharibika huwa inajilock hio write protection ili uhamishe data zako kabla haijaharibika, huwenda hii pia ikawa sababu.

3. Jaribu kutumia software ya low level formating incase ni tatizo tu la kawaida itasaidia kuirudisha.
 
Sijui ulikua hutaki kutoa ushauri wenye mashiko ama vipi.

1. Flash zanye switch ya write protection siku hizi hazipo tena.

2. Ushauri wa 2 hujasema anatakiwa afanyeje.

3. Ashakwambia katumia diskpart, cmd, reg... Halafu na wewe unasema atumie tena procedure hizo.
No 3 sio low level formating, low level formating hupatikana kwa 3rd party apps maalum, sababu hajataja model na mimi sikuweza kuendelea kuandika zaidi ya hapo, atafute low level formating tool ya brand yake.

No 2 ina maana flash inakufa, hakuna ushauri hapo ni kuhamisha vitu vyake kabla haijafa.

No 1 zimejaa kibao, sabau ni feature muhimu kwa wanaohitaji.
 
Back
Top Bottom