Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Mimi naomba mnisaidie juu ya suala la space.

Simu yangu inashida na space na ina week mbili tu.


Sdcard ni mpya.
Nimejaribu kuhamishia app kwenye sdcard lakini inagoma.

Siimu ni samsung galaxy grand prime+
 
Asante
 
Sasa why mnataka ku/root or kwa vile mmefundishwa? Kumbukeni mmeambiwa lazima uwe na sababu maalum!
 
Daah yaani huku ni zaidi ya facebok whatsap na insta Maan huku hupotezi mb bure Bali kuna kitu utajifunza
 
Naomba msaada jinsi ya kuroot techno w5. Marshmallow
 
Nmeroot sumsang s3
 
Nimefuta maelekezo yote hatua kwa hatua jinsi ya Ku root simu inagoma. Nmetua apps za Kingoroot, inafika 98% inagoma. iroot pia haimalizi, kingroot pia inanizingua. Naomba msaada. Pia kwa kutumia PC siwezi kwa kuwa PC hazidetect cm yngu. W3 techno.
 
Ctaki kabisa kuckia hizi mambo. Cm yngu Samsung S4 ilikua rooted nikajifanya ku unroot kilichonitokea cm ilizima ikawa haitak ku start. Ilikuwa inaishia kwenye logo ya "Sumsung" tu! Imenigharimu 30,000/= kurepair!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…