Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Maisha murua kabisa baada ya kufanikiwa kuroot Huawei yangu asante kwa mleta uzi
 

Attachments

  • 1451310029169.jpg
    47.3 KB · Views: 301
Mkuu unabadilishaje themes
 
Asante sana mkuu ila kwenye SMS bado maandishi hayajabadilika kwa font niliyodowload. Ila nimependa. Sehemu moja sijaelewa vema mfano kwenye masuala ya wallant niki unroot warrant ninqweza kuipata kama kawaida?.
 
Pia kuna jambo Fulani Mimi ni mtumiaji wa techno jamaa mmoja akawa na nyimbo Fulani akasema kwa simu fake haziwezi kupiga akaniwekea kweli haikupiga yeye anatumia Nokia hii imekqqje mkuu naomba msaada kwa hili . Tumeambiwa pia simu fake zote zitazimwa nitajuaje simu fake maana watu wanasemq kuwa simu za techno na fake . ninayotumia ni version yake ni lollipop. Naomba pia vitu zaidi ninavyoweza kufaidika navyo kwa ku root simu mfano applications kutoka google, asante sana mjumbe na barikiwa. Blessings.
 
Kuhusu kufahamu kama simu yako ni fake bonyeza *#06# kisha copy pembeni imei hizo baada ya hapo chukua imei moja kati ya hizo mbili kisha tuma kwenda namba 15090 kwa sms then watakuletea majibu. Hivyo tu
 

Oya nimeroot simu ila nimestuck sielewi pa kuelekea. Nimeshaverify ipo. Ili nipate muonekano kama wa kwako nifanyeje?
 
Asante broo kwa maelezo yako mazuri! Ngoja nami nifuate maelekezo yako!
 
Nadhani anataka kubadili maandishi yaani font. Ingia play store google download HIFONTS.
 
umesomeka but lazima umakini uwepo katika rooted asee
 


Ukisha fanya rooting unahitaji kuinstall operating system au itaingia moja kwa moja as part of the process ya rooting mkuu? Na kama unafanya installation how?
 
I rooted my Huawei g6 u10, ahsante
Ukisha fanya rooting unahitaji kuinstall operating system au itaingia moja kwa moja as part of the process ya rooting mkuu? Na kama unafanya installation how?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…