EmmanuelSangeJR
New Member
- Jan 13, 2018
- 4
- 2
🤣🤣🤣🤣si ubonyeze hapo following kisha unaunfollow mmoja mmoja kila siku unatenga idadi utawamaliza tu
Hii kitu ni stressfull sana...nilitaka kumkopi kiba kwahyo ilibidi niunfollow watu 3000 mmojammojasi ubonyeze hapo following kisha unaunfollow mmoja mmoja kila siku unatenga idadi utawamaliza tu
Wewe kila siku ni kuelekeza muongozo. HahahahhNgoja waje kukupa muongozo...