Jinsi ya ku_unlock azumi vodafone

Jinsi ya ku_unlock azumi vodafone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Baada ya Vodacom kuidindisha TCRA na kukomaa na vifurushi vipya ,swala la kutemana nalo halina mjadala.

Nimesajili line ya ttcl lakini simu nayotumia ni ya voda.
Nafanyeje ili niweze tumia line zote?
 
Weka laini tofauti na voda namba moja kisha tuone kama itaomba code.
 
Line inassuport kwenye sms na kupiga Ila internet inassuport ya voda tu...
Nilitaka ttcl itumike kwenye data pia

Kama TTCL ukiweka laini namba moja inasoma vizuri, Basi itakuwa hiyo simu wamei-limit ili iweze kupandisha 3G au 4G lazima uweke laini yao.
 
Back
Top Bottom