Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Haiombi,hata nikichagua internet isome line nyingine inakubali kwenye data lakini mtandao hausomi kabisaWeka laini tofauti na voda namba moja kisha tuone kama itaomba code.
Haiombi,hata nikichagua internet isome line nyingine inakubali kwenye data lakini mtandao hausomi kabisa
Haioneshi ishara yeyote zaidi ya mnara kusoma E lakini laini hiyo nikiweka kwenye simu nyingine,mtandao unakuwa freshInaandik No service au inaonyesha ishara gani?
Haioneshi ishara yeyote zaidi ya mnara kusoma E lakini laini hiyo nikiweka kwenye simu nyingine,mtandao unakuwa fresh
Line inassuport kwenye sms na kupiga Ila internet inassuport ya voda tu...Kumbe Tatizo sio ku unlock, mimi nikajua hai support laini nyingine.
Line inassuport kwenye sms na kupiga Ila internet inassuport ya voda tu...
Nilitaka ttcl itumike kwenye data pia
Nafanyeje ili kutatua hilo tatizoKama TTCL ukiweka laini namba moja inasoma vizuri, Basi itakuwa hiyo simu wamei-limit ili iweze kupandisha 3G au 4G lazima uweke laini yao.