Jinsi ya kuacha Kunusa

Kinyaa nilichopata hapa,nimetapika kande zangu zoteE!!ptuuu
 
Puuu ...kidole chako nahisi kinanuka .....peleka pumba zako hapa kanuse na chooni. umenitolea mood kabisa ya kula hata msosi
 
Kaoge bana unatunukishia pmb hapa...


By Mgirik

huna akili kabisa! Huu ndio ujinga wa kutuletea hapa?
Peleka kwa mabwabwa wenzako huko



Mwanamke ni bwabwa? Asante
Fuatilia vizuri thread​

 

Wewe ni mchafu kama muandiko wako
 
aisse....pole sana....labda uanze kuichukia harufu ya uko ndiyo labda unaweza kuacha.....
 
A gentleman is judged by his acts, not only acts, his acts when he is alone.
 
Osha jik uko chin then upake mikono yako pilipili utaacha mwenyewe
 
Mbavu zangu ha ha ha ha ha unaelekea kuchizi mkuu, haiwezekani unafurahia harufu au una mimba?
 
Pole sana, jaribu kuwaona madaktari wa saikolojia au magonjwa ya kinamama....

Usitegemee majibu ya kukusaidia kutoka kwa hawa ma "Officer Uchwara"......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…