Hakuna mwacha sigara hapo.
Huyo ataacha siku mbili atapata kitu kimemfurahisha atapiga..
Ttzo alipo post hii thread yake alikuwa na njaa subiri akishiba ndio atajua kuwa akitaka kuacha sigara hatakiwi kujitangazia.Hakuna mwacha sigara hapo.
Huyo ataacha siku mbili atapata kitu kimemfurahisha atapiga..
Ndugu mi naendelea kupuyanga tu we kaa uniambie ngoja sijui nishibe,cjui nifurah au nichukie ila mi Nazid kukimbia tu muda si mrefu natimiza masaa 72 mdogo mdgo nasahau.Ttzo alipo post hii thread yake alikuwa na njaa subiri akishiba ndio atajua kuwa akitaka kuacha sigara hatakiwi kujitangazia.
Wewe unafikiri matumizi ya tumbaku ni kwaajiri ya utengenezaji wa sigara pekee?.....wote tukiacha wakulima wa tumbaku wafe njaa?....umeacha mtu,wanaanza watu;
....hatujaja kuishi milele!
Sigara ina tabia moja, kuwa likizo na kurudia, ila 72hrs ni mda ambao hamu ya kuvuta inaisha kabisa, unaweza ukaacha miezi kadhaa siku ukakutana na mtu usiyetarajia kama anavuta, mtu ambae unamheshimu kweli kweli ukashangaa anavuta na wewe ukajikuta una mssuport, sigara kama uchawi sijui! Anyway, hongera kwa kuacha, epuka chama choma mara kwa mara, kaa na kampani ya watu ambao hawapendi kabisa hiyo kitu. Anaza mazoezi mepesi kama kukimbia au kuruka na kamba.Ndugu mi naendelea kupuyanga tu we kaa uniambie ngoja sijui nishibe,cjui nifurah au nichukie ila mi Nazid kukimbia tu muda si mrefu natimiza masaa 72 mdogo mdgo nasahau.
Monde ndio nn?Vry soon utaanza tabia za ajabu ajabu,mfano kupga ndumba,kutangaza unaacha na monde,nakadharika
TungiMonde ndio nn?
Pombe nimeacha toka mwaka 2005,na uzur nmeamua kupunguza aina za marafiki nilionao,sasa sigara nilikua sijaamua ila sasa nmeamua Rasmi,bila pombe,bila sigara,maisha yanasonga bila stress...marafiki wachache wanaojielewa,mke mmoja furaha mojaTungi
Hongera sana kwa maamuzi mazuri chief,umechagua maisha mazuri.Pombe nimeacha toka mwaka 2005,na uzur nmeamua kupunguza aina za marafiki nilionao,sasa sigara nilikua sijaamua ila sasa nmeamua Rasmi,bila pombe,bila sigara,maisha yanasonga bila stress...marafiki wachache wanaojielewa,mke mmoja furaha moja
Asante nduguHongera sana kwa maamuzi mazuri chief,umechagua maisha mazuri.
Monde ni pombe mkuuMonde ndio nn?