mi nimeacha kwa kukwepa wavutaji, nikisikia ile harufu napata stimu za kuvuta
ni ngumu ila ukidhamiria utaweza, ile kitu ina panda na beer sana lakini ukiwa una kunywa zako alone au home tu kiu ina poteaHahahaa kaka hongera sana.....Ila sasa cha ajabu kwangu ni kwamba MTU akiwa anavuta harufu yake inakua inanikera....ila nikiwa navuta mm nakuoa naiona iko poa sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu..
..sijawahi kusikia kuhusu huo nicotine plaster.....nielezee kidgo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi kama unavyofikiriaFanya kitu kidogo kila ukipata hamu nunua pipi kifua kula inasadia sana kuna jamaa yangu alicha kwa style iyo afu usikae na wavutaji
Mi nataka kuacha sigara kwa sababu za kiafya lkn nyie mmeedit na kudai et kabla sijaumbuka.....aaarrrggghhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kila kitu kinaanzia kwenye mind....ukiiweka mindset yako vizuri hiyo makitu unaacha mbona
Ni hivi mkuu, moshi ya sigara imejaa makemikali, na mmoja ikiwa nicotine. Hii nicotine ndio inafanya ukose raha wakati unapokosa fegi. Sasa wataalamu wametengeneza plaster iliyo na hii nicotine. Unabandika mwilini, na pole pole mwili inapata ile raha ya nicotine bila ya uvutaji sigara. Kila baada ya muda fulani unabadilisha hiyo plaster. Ulizia maduka ya madawa, lakini mimi ninge kushauri ndugu yangu, uanze na mazoezi, lishe bora na ubadilishe mawazo. Kaa mbali na mazingira yanayo kufanya uvute sigara. Baadilisha mfumo ya maisha, na sasa ikiwa ni mwaka mpya ni muda mwafaka kuleta vitu mpya maishani!
Niwe muwazi nilikuwa mtumiaji wa Embassy, chakuongezea unapopata Kiu jikipu bize Sana tena Sana, pili ebuka kununua sigara nyingi nunua moja unapotaka kuvuta ichekiiiii halafu vuta hisia kuwa inamazara then itupe,, huku ukijisemea sivuti tena,, taratiiiibuuu mwaka wa tatu sijapiga Embassy.Fanya kitu kidogo kila ukipata hamu nunua pipi kifua kula inasadia sana kuna jamaa yangu alicha kwa style iyo afu usikae na wavutaji
Tafta kitu kingne ata soda uanze kutumia nazani akiri yako itahama Kwenye sigara kwenda uko[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una dhamira ya dhati ya kuacha kuvuta fegi fanya hivi:- muda mwingi unatakiwa uwe karibu na wale ambao unawahofia wasikugundue kuwa unavuta, maana hata ukipata kiu unajikuta unashindwa kuvuta coz utakuwa karibu na wale/yule asiyependa uvute sigara, na huyo girlfriend wako umuoe kabisa acha ubwege wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa siku navuta tano mpka sita tu kaka....huwa sivuki hapoKwa siku unavuta ngapi kwa siku?.Tuanzie hapo kwanza
-Kama unavuta 10 anza kupunguza kidogokidogo,wiki hii vuta 8,wiki unayofuata vuta 6 kwa siku,hivyo hivyo mpaka utakuta umebaki na mbili kwa siku then moja.
-Usinunue pakti la sigara,nunua moja moja,na kama umeshaamua utavuta idadi kadhaa kwa siku nunua zote kwa pamoja uwe nazo.
-Unapovuta usiingize moshi mwingi ndani.
-space muda kati ya sigara moja na nyengine,mfano masaa manne manne ukivuta saa moja,usivute tena mpaka yapite masaa manne au zaidi.
Ps.ukiwa na stress usikumbilie pombe ama sigara,kula shada.
Sent using Jamii Forums mobile app