Jinsi ya kuacha kuwa na mawazo hasi kila mara

Jinsi ya kuacha kuwa na mawazo hasi kila mara

Jamani nina ndugu yangu yupo insecured muda wote na most of the times anawaza vitus negative sasa naombeni msaada nifanyaje??
Taja umri
Jinsia
Dini


Na Aina ya hisia zake mbaya

Je yupo hapa
Analalamika
Analaumu
Anafanya umbea kwa kuongelea Sana watu vibaya

Je yupo financial broke
Au relationship broke


Funguka vizuri


Lakini njia namba moja ya kuondoa negative emotions ni kushukuru ile hali inayokusumbua mfano upo financial broke au relationship broke tumia Nguvu ya Shukrani (Gratitude)

Then unabidi kujua hisia hasa hisia hasi ni ILLUSION na kushindwa kutafsiri Mambo unayoyapitia that kitu kinachonipa Mimi furaha wewe kinaweza kukupa huzuni


So Mjenge kisaikolojia na kiroho he/she will get relief.
 
Back
Top Bottom