Unasumbulia na NiniJinsi ya kuavoid thinking about negativity all the time!!
Kula tu ushibeJinsi ya kuavoid thinking about negativity all the time!!
Taja umriJamani nina ndugu yangu yupo insecured muda wote na most of the times anawaza vitus negative sasa naombeni msaada nifanyaje??
tafuteni msaada wa kisaikolojia.... wataalam wapo banaJamani nina ndugu yangu yupo insecured muda wote na most of the times anawaza vitus negative sasa naombeni msaada nifanyaje??