Jinsi ya kuacha pombe kwa kutumia Jina la Yesu

Jinsi ya kuacha pombe kwa kutumia Jina la Yesu

Yuda Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
778
Reaction score
2,764
Hii ni Njia rahisi Sana kwa alie tayari kuacha Kutumia madawa ya kulevya Aina ya Pombe (Alcohol) ni rahisi Sana kama utakuwa umechoshwa na Hali ya unywaji wa Pombe.

Njia hii ni jina la YESU KRISTO kwa maana kitu chochote atendacho mwanadam huanzia rohoni ikiwa na maana yale mawazo yanayo sema ndani ya akili yako Sasa ni mda unywe pombe hutoka rohoni haianzi akili tu kusema kunywa pombe kama wengi wanavyo Fikiria.

Sasa basi Kwa kuwa BWANA YESU KRISTO NI BABA YETU WA ROHONI NA MWILINI hakuna linalo mshinda.

PALE unapoanza tu kunywa kabla ujanywa tamka kwa kusema Baba YESU NINAOMBA UNISAIDIE KUACHA UTUMWA HUU MAANA DHAMIRI YANGU IMECHOKA MWILI UNASHINDWA ILA ROHO NDANI YANGU INAHITAJI MSAADA WAKO Sala hii ukiwa bar najua shetani atakufunga kinywa usiiseme kwa sauti basi cha kufanya itaje kimoyo moyo baada ya hapo kunywa FANYA SARA HII KATIKA SIKU AROBAINI KATIKA KILA SIKU YA UNYWAJI WAKO AU KATIKA BAADHI YA SIKU ZA UNYWAJI WAKO (CHA MUHIMU USIRUKE RUKE SALA LEO UMEOMBA KESHO UMEKUNYWA BILA KUOMBA)

CHA MUHIMU NI UWE NDANI YA MOYO WAKO UMECHOSHWA NA ULEVI WA POMBE.

JINA LA YESU LINANGUVU LINAVUNJA VIFUNGO NA KUKUWEKA HURU 🙏🙏🙏🙏

USIKATE TAMAA KUNA WALIO KUWA WALEVI ZAIDI YAKO ILA YESU ALIWAPONYA.

YESU NI MSAADA KAMA TU TOKA NDANI YA MOYO WAKO UNAHITAJI MSAADA TOKA KWAKE.

Beautiful Cross Images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom