Jinsi ya kuagiza nguo mitumba toka ulaya

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,804
Reaction score
10,715
Wakuu, nimepata jamaa yangu Yuko ulaya na anataka kuniletea mitumba Kama biashara. Tatizo Sina uelewa na biashara hii na pia yet hajui kitu hivyo anataka maelezo toka kwangu.

Anataka kujua jinsi ya kupack, kugrade, na idadi ya nguo kwenye Kila package. Hizi hapa baadhi ya screenshot ya maongezi yetu
 
Tusubiri wazoefu, wengine tutakua wateja wako mtumba ukiuleta ambao uko quality
 
Naona hii sector Haina mzoefu
 
Naona mtu anaambiwa changia dora kadhaa ili mzigo ukufikie
Maana kuna seem anasema niko busy kazi fulani.... lakini anaonekana anahitaji kujua maendeleo yako...
Ushauri wangu. Kama umeshaonana naye sio mbaya ila kama ni online.. you have to take care
 
Biashara nzuri hiyo Mkuu..mimi nimefanya ya matairi Used sema TBS naoma wameleta uchawi sasa nahamia kwenye hiyo ya nguo
 
Labda niseme tu nafahamiana naye tangu 2000 na nishakuwa naye kwa zaidi ya mwaka mmoja. Naomba tujikite kwenye mada
 
Biashara nzuri hiyo Mkuu..mimi nimefanya ya matairi Used sema TBS naoma wameleta uchawi sasa nahamia kwenye hiyo ya nguo
Unafahamu jinsi ya kufanya grading? Na pia idadi ya nguo kwa package?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…