Jinsi ya kuagiza samaki Mwanza

joe.

Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
36
Reaction score
219
Salaam.

Niko Mwanza kikazi. Kesho narudi Dar. Ndugu wanataka niwaletee samaki wa huku sato na sangara.

Je nawapata maeneo gani? Bei ikoje? Na gharama za kusafiri nao Fast Jet zikoje? Nasafiri mchana so nataka asubuhi kesho nikanunue.

Msaada tafadhali.
 
Nenda kamanga fel utapata sato
 
Siuende ofc za fastjet. jf ikusaidieje mara samaki wanapatikana wap mara garama za usafirishaji. Mwisho utauliza jf utapata wapi mbebaji wa ndoo
 
Ndio maana heart decision is more important in everything..coz kama kitu unakipenda kutoka moyoni na ukaamua kuifanya kweli..taarifa za msingi utazijua coz Ndo maisha yako yana flow humo.. Ila kama unafanya tu kwasababu watu flani wanafanya... Maswali kama hayo siyashangai
 
hapo hapo airport mwanza kuna ofisi za fast jet utajua gharama za usafirishaji. na hapo hapo airport mwz sato wanauzwa
 
Na hiyo office uliyoajiliwa ni snura!!
Hapo airport kuna samaki wanauzwa,ila kwa chombo unachotumia kusafiria hawabebi samaki!!!
Labda wawe wameanza mwezi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…