Y yusimi Member Joined Dec 14, 2014 Posts 25 Reaction score 4 Jun 1, 2017 #1 Habarini wana JF wenzangu, Naombeni msaada Nataka kuagiza vitu kutoka nje lakini vije kupitia ndege. Je kuna yoyote anajua anifahamishe utaratibu? Natanguliza shukrani Asante
Habarini wana JF wenzangu, Naombeni msaada Nataka kuagiza vitu kutoka nje lakini vije kupitia ndege. Je kuna yoyote anajua anifahamishe utaratibu? Natanguliza shukrani Asante
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Jun 1, 2017 #2 yusimi said: Habarini wana Jf wenzangu Naombeni msaada Nataka kuagiza vitu kutoka nje.lakini vije kupitia ndege. Je kuna yoyote anajua anifahamishe utaratibu? Natanguliza shukrani Asante Click to expand... - Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) Nataka kuagiza vitu kutoka nje.lakini vije kupitia ndege. Click to expand... - je kutoka nchi gani? - Je ni mtandao gani unatumia kufanya manunuzi? - Je mzigo una ukubwa gani/uzito gani? Waweza kuja PM baada ya kupitia hizo Thread mbili hapo juu iwapo utahitaji msaada zaidi.
yusimi said: Habarini wana Jf wenzangu Naombeni msaada Nataka kuagiza vitu kutoka nje.lakini vije kupitia ndege. Je kuna yoyote anajua anifahamishe utaratibu? Natanguliza shukrani Asante Click to expand... - Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy) Nataka kuagiza vitu kutoka nje.lakini vije kupitia ndege. Click to expand... - je kutoka nchi gani? - Je ni mtandao gani unatumia kufanya manunuzi? - Je mzigo una ukubwa gani/uzito gani? Waweza kuja PM baada ya kupitia hizo Thread mbili hapo juu iwapo utahitaji msaada zaidi.