Jinsi ya kuamua aina ya gari unayotakiwa kuwa nayo

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
2,401
Reaction score
1,303
Kuna muundo aina tofauti - tofauti wa magari kwa sasa, unawezaje kua na yhakika kwamba, gari unalonunua litaweza kukidhi mahitaji yako?

After all, gari unalolipenda leo, waweza usilipende tena mwaka unao fuata.

Unatakiwa kuchukua hatua moja muhimu, yakujiuliza : Matumizi makuu ya gari unalohitaji yatakua ni yapi.?!

Ikiwa kama unanunua gari kwaajili ya kuendea kazini na maeneo unayofanyia kazi ni ya watu wengi, unatakiwa kufikiria juu ya suala zima la parking.

Na kama unakwenda kilometers kadhaa kufika kazini kwako, ni lazma ufikirie kuhusu gari ambayo ulaji wake wa mafuta ni mdogo.

Kutu kikubwa unachotakiwa kuangalia ni hitaji lako la gari angalau baada ya miaka mitatu thamani yake itakuaje .?!

Sasa, baada ya kuzingatia hayi yote, umekwisha jua ni aina gani ya gari unayohitaji.

Sasa unaoaswa kuamua ni ipi unayotakiwa kununua. Utanunua Toyota? Ama Bmw ? Vipi kuhusu hyundai? Hata Benz nalo liko bomba!

Wanunuzi wengi huwa wana aina mbalimbali ya majina ya branda za magari wanazo zipenda, hii hupelekea kuwachanganya wengi wasijue ni brand ipi haswa anatakiwa kua nayo!

Wengine hununua magari kulingana na research, wengine kulingana na ushauri wa marafiki, ndugu jamaa, wengine hununua gari kulingana na walichosikia n.k.

Muhimu ni kufuata ushauri (japo sio mara zote ) wa watu wako wa karibu ambao wanayo ama waliwahi kutumia aina hio ya gari ambayo wewe unataka kuinunua.

Baada ya hapo, waweza kuwasiliana na sisi (Exotic Cars Tanzania - Global cars importers ) kupitia email : ecarstanzania@gmail.com kwa ushauri zaidi.

Napia Tukakusaidia kukuletea gari ulipendalo kwa gharama nafuu zaidi.

BUDGET

Hakuna mtu anaetaka kununua gari ambalo limshinde kuligharamia.

Kufanya bajeti ya kununua gari unatakiwa kuipanga miezi kadhaa kabla ya kununua. Baada ya kuamua, aina ya gari unayokwenda kununua, unatakiwa pia kujua itakugharimu kiasi gani.

Ikiwa na maana kwamba, unapaswa kujua gharama zote za uagizaji, ushuru hadi gari kua mkononi mwako bima n.k

Ukiwa na hizo figure akilini mwako, ndiposa utaweza kuamua kama gari unalihitaji utaweza kulimudu au la.

GHARAMA HALISI ZA KUMILIKI GARI:

Kwa bahati mbaya, gharama za kumiliki gari, hua haziishi pale unaoolinunua na kulilipia ushuru,

Unapaswa kujua gharama utakazo lipia gari lako kwenye parking utakayo kua unapark kila siku kazini au nyumbani au kote kote.

Makadirio ya gharama za kulihudumia gari kwa mwaka
(Ikiwa na maana kwamba: kuweka vilainishi, belts, matairi n.k)

Kitu kingine, unatakiwa kuangalia ni kiasi gani itakugharimu mafuta kila week, hizi zote unatakuwa kuwa nazo na unapokua nazo, ndiposa unapata gharama kamili ya kumiliki gari.

Karibu EXOTIC CARS TANZANIA (ECARSTANZANIA) KWA MAGARI BORA YENYE GHARAMA NAFUU KABISA!

Email : ecarstanzania@gmail.com
 
Nahitaji Toyota Alphard 4WD,NAOMBA SPECIFICATION ZAKE,UBORA NA UDHAIFU WAKE
 
Back
Top Bottom