Jinsi ya kuandaa Broccoli na kuipika

Jinsi ya kuandaa Broccoli na kuipika

MMOJA

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
445
Reaction score
259
Habari wana Jamvi,

Nahitaji kujua jinsi ya kupika hii mboga, kwani ina manufaa makwuba kwenye mwili wa binadamu,

Kwa mdau anaefahamu jinsi ya kupika mboga tunaomba maelekezo yake ili tuanze kufaidika na hii mboga,

Ahsante
 
Unataka kujua kupika au kuandaa?Ukisha ondoa yale mamiti yake unabakiza tu kidogo,unaweka kwanye maji baridi uliyoyatia chunvi,limau au nndimu(maji pamoja na maganda)after some hrs unayaosha na maji ya kawaida then unabandika maji yakichemka unazitia brokoli unaziacha hadi maji yachemke then unzitoa unazipooza na maji baridi,mwisho unaweka kikaangiao na butter kidogo unazitoa kwenye maji unazipashia na siagi na chunvi na pilipili manga kidogo unaweka,siri ya mboga isiive sana ili uweze kupata virutubisho vyote.
 
Habari wana Jamvi,

Nahitaji kujua jinsi ya kupika hii mboga, kwani ina manufaa makwuba kwenye mwili wa binadamu,

Kwa mdau anaefahamu jinsi ya kupika mboga tunaomba maelekezo yake ili tuanze kufaidika na hii mboga,

Ahsante
0
 
How to prepare broccoli

Ingredient:
Garlic
Salt or chicken flavored
Method:
Cut broccoli in small piece
Boil the water add salt on it
Add broccoli make sure is not over cook,take out cool in cold water.
Sautee garlic with butter then add broccoli sautee in 3min then add chicken flavored your broccoli will be done.
 
Back
Top Bottom