mkuu how can you ask for help in putting up a bussiness plan and yet you dont know which bussiness you want to be in, first look for the kind of bussiness you want, either by creating a new market or serving one, then find out how far 500,000 can go or do then came back here and i will offer you bussiness plan FREE OF CHARGE, i myself i have MBA , i promise you i wont charge you even A CENT, wait to hear from you sir, be blessedNina kiasi cha hela cha laki tano nataka kufanya biashara naomba wazo la biashara(structure business plan)nataka nijiajiri
Katafute bar inayochanganya biashara ambapo hakuna mashine ya popcorn.
Kaongee nao wakuruhusu uweke kamashine cha popcorn hapo kwenye bar yao wengi wanaweza kukutoza kodi ya tsh elfu 20 kwa wiki.
Ukikubaliwa kanunue mashine ya popcorn bei ni kama laki nne, .
Kila jioni unakwenda kuweka mashine na kuuuza popcorn kwenye hiyo bar
Business plan yako inapaswa kuwa na page moja ikizidi mbili. Iwe na key points tu. Pita mtaani chagua idea njoo nayo jukwaani jf watu watakusaidia kudraft a simple business plan.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hizi sivyo biashara huwa, fanya hivi, angalia ni kazi au biashara gani unaweza fanya na hio mtaji, kisa inbox mimi uniambie nimepata hii biashara, sasa mimi nitakupa ushauri jinsi ya kuifanya hio biashara, mfano kaa tuseme umeona ni vyema ununue matunda na kuuza katika soko, mimi nitakusauri vile biashara kaa hio hufanywa, yaani matunda ya toka wapi, wapi utanunua, vipi utasafirisa na vipi jinsi ya kujua kaa utapata faida, niko tayari kabisa mkuu kukusaidia bure, barikiwa sanaThanks chief but want i need is someone to tel me that according to your capital you can do this business with whole structure plan(means business suggestions and plan)[emoji120]
Shukran mkuuBusiness plan is a written document prepared by an entrepreneur that describes all the relevant external and internal elements involved in a new venture or improving an already existing business
Table of contents
1; executive summary
It provides a short , concise and optimistic view of your business that capture the readerโs attention and creates a need to learn more . It comprises the following, the mission of your business, introduce your company, the management and ownership, it describes your main product and service offerings , it describes your financial projection, it describes your start up financial requirements
Step sawa,but unahitaji mtaalamu ni pm tuyajengeHabar za asubuh wana JF
Natumaini nyie wote ni wazma
Naomba kwa mtu ambaye anafaham steps/process za kuandaa business plan
Anielekeze izo steps/process
Asubuh njema
Step sawa,but unahitaji mtaalamu ni pm tuyajenge
2: business overview
It describes the overall nature of the industry, including sales and other statistics
It describes your business and how it fits into the industry
It describes the existing competition
It describes the area of the market you will target and what unique or improved or lower cost services you will offer
3 ; Market analysis
Market analysis comprises the assessments of your competition and how your business will compete in the sector
It estimates the volume and value of your sales in comparison with existing competitors.
It describes any helpful barriers to entry that may protect your business from competition such as capital, technology, regulations , employee , skills etc
A simple business plan inakuwa na vitu vifuatavyo;
1. Introduction
2. Marketing Plan
3. Organisation Plan
4. Production/Implementation Plan
5. Financial Plan and Budgeting
6. Business Monitoring
7. Recommendations
Yanaweza kubadilika majina lakini kila kitu kipo humo