Jinsi ya kuandaa mpango wa biashara (Business Plan)

6 : operating plan
It describes the physical requirements of your business such as offices , warehouses, retail space , equipment, inventory and supplies
It describes the physical location of the business, includes mortgage or leasing costs , estimates the expected maintenance, utilities and related overhead costs and also approvals and other permissions necessary to operate your business
It describes how the employees will be sourced and the employment relationship


7 ; financial plan
This is most important section of the business plan . It demonstrates that your business will grow and be profitable . To do this you will need to create projected income statement, cash flow management and balance sheets



End
 
WE UNAYO MOJAWAPO?
 
Hizo ni nyepesi hata ukigoogle mtu anacopy na kupaste tu
Mziki upo kwenye kuandaa business plan kamili kabisa
Hayo waliotoa hapo ukienda google unayakuta tu

Kazi ni kuandaa business plan yako wewe mwenyewe sasa
 
Mkuu ingia google na utafute bplans.. mimi mwenyewe niliipata kupitia humu humu na imenisaidia

Lakini usisahau pia kuandika business plan ya ukweli sio rahisi kama hauna basic knowledge and skills za sections ambazo tayari ushaambiwa kama market na finance. Uzuri vyote vipo youtube, forums za professional discussions kama quora na pia ukipata muda wa semina unaweza kuhudhuria ili kuongeza uwezo wako. Ukishapata vyote hivyo, tafuta hata business agency au NGO's ambayo utajitolea kuwafanyia ili ufanye practices.

Mimi sipo perfect lakini mbinu nilizokupa ndizo nilizozitumia na kiasi fulani zimenisaidia.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…