Jinsi ya kuanzisha biashara ya internet café

Jinsi ya kuanzisha biashara ya internet café

Kisite

New Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu naomba kufahamu abc za namna ya kuanzisha hii huduma hapa mjini.

Kwa anayefahamu gharama za ujumla na vibali husika.

Shukran.
 
Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu naomba kufahamu abc za namna ya kuanzisha hii huduma hapa mjini.

Kwa anaye fahamu gharama za ujumla na vibali husika.

Shukran.
Hivi hizi internet cafe bado zipo?
 
Kwasasa internet cafe inalipa kwa Arusha pekee, naona wazungu wanajazana sana humo lakini mikoa mingine utapigwa doro mpaka ushangae.

Nakushauri ni heri ufungue games station, hapo utapata hela
 
Kwasasa internet cafe inalipa kwa arusha pekee,naona wazungu wanajazana sana humo,lakin mikoa mingine utapgwa doro mpaka ushangae.

Nakushauri ni heri ufungue games station, hapo utapata hela
Asante Hii kitu huku haipo nikiweka itafaa
 
Usikatishwe tamaa, endelea kufanya research kama sehemu huduma inahitajika weka, mbona Moshi au Arusha watu bado wanaingia internet cafe, hata mimi mwenyewe kuna wakati nazama cafe kama nataka kudownload mzigo mkubwa wenye GB nyingi kwa sababu internet ina speed nzuri sana.
 
Back
Top Bottom