Polyasi Mtangoo
Member
- Oct 13, 2016
- 30
- 39
Hakuna kufanya registration TFF ?Kusanya masela wa mtaani anzisha timu halafu anzeni kusgiriki ligi daraja la 4.
Una mpunga wakusheba hata kama ukifanya usajili tff ila nakushauri anzisha kama akademi coz timu kama timu itakugharimu kuanzia mishahara,hosteli,chakula,matibabu,usajili nk ukianzisha akademi itakuwa rahisi zaidiHabari
ninaomba anae fahamu namna ya kuanzisha club ya mpira yani (team ya mpira ) kwanzia stage one hadi stage ya mwisho. maana kila siku nikienda chama cha mpira hapa Geita nakuta ofisi zimefungwa.
msaada tafadhari natanguliza shukrani zangu kwenu
Njia rahisi kabisa ni wewe mwenyewe kwanza,yaani je uko na pesa au .......??Habari
ninaomba anae fahamu namna ya kuanzisha club ya mpira yani (team ya mpira ) kwanzia stage one hadi stage ya mwisho. maana kila siku nikienda chama cha mpira hapa Geita nakuta ofisi zimefungwa.
msaada tafadhari natanguliza shukrani zangu kwenu
Habari Ndugu,Habari